Chagua huduma unayoihitaji kisha tutakuunganisha na mtoa huduma sahihi.
Kusafirisha vifurushi, nyaraka, na mizigo midogo kwa haraka na usalama.
Kutengeneza mageti, vitanda vya chuma, madirisha na kuchomelea.
Kudhibiti mbu, mende, panya na wadudu wengine wasumbufu majumbani.
Kupamba kumbi, mahema, viti na mipangilio ya harusi au sherehe.
Kufundisha masomo ya ziada nyumbani kwa wanafunzi wa msingi na sekondari.
Kufunga madirisha ya vioo, milango na vizuizi vya ofisi (partitions).
Programu za mazoezi ya mwili, kupunguza uzito na afya kwa ujumla.
Kuweka bodi za gypsum, nakshi za dari na taa za mapambo ya kisasa.
Huduma ya mziki (PA system) na ma-DJ kwa ajili ya sherehe na matamasha.
Kukodisha na kuuza Mali Isiyohamishika
Huduma ya uzalishaji, uuzaji na usambazaji wa miche na mimea mbalimbali, ikiwemo miche ya miti, matunda, maua, mboga na viungo pamoja na mimea ya mapambo. Inahusisha pia vitalu vya miche, miche iliyobebeshwa, ushauri wa uchaguzi wa mimea na uwasilishaji w