Chagua huduma unayoihitaji kisha tutakuunganisha na mtoa huduma sahihi.
Usafi wa majumbani, ofisini, na ufufuaji wa mazulia.
Mabomba, vifaa vya maji, vyoo na unganisho la maji safi.
Kutengeneza shoti, wiring, na kufunga vifaa vya umeme.
Magari ya kubeba mizigo, kufungasha na kuhamisha vitu.
Kutengeneza, kurekebisha na kupiga rangi samani.
Kufunga, kusafisha na kutengeneza viyoyozi na friji.
Kupaka rangi majengo, mapambo ya ndani na nje.
Kukata nyasi, kupanda maua na upambaji wa mandhari.
Matengenezo ya simu janja, kompyuta na vifaa mbalimbali vya kielektroniki.
Huduma za mapishi kwa ajili ya sherehe, keki na chakula cha majumbani.
Matengenezo ya injini, bodi, na mfumo wa umeme wa vyombo vya moto.
Kurekodi matukio, kupiga picha za sherehe, na matangazo ya biashara.
Kushona nguo za kisasa, suti, magauni ya harusi na sare mbalimbali.
Kusuka, kupamba maharusi, makeup, na huduma za kucha na ngozi.
Ujenzi wa nyumba, kupiga plasta, kuweka taili (tiles) na matofali.